Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Miaka 11 iliyopita baada ya kumaliza chuo niliwahi kuwa na munkari wa kuingia jeshini tena direct kwa kutumia elimi niliyopata kwa kipindi hiko....Habarini ndugu zangu,
Kama jina “linavyo-display” hapo juu. Baada ya kuhitimu bachelor’s degree miaka kadhaa iliyopita na kusambaza CV ofisi mbali mbali, hatimaye mapema mwaka jana nilipata nafasi kama “intern” kwenye taasisi ya kiserikali (nalipwa
Nikamfuata ndugu yangu mmoja mwanajeshi mwenye cheo kiasi nikamuomba ushauri...
Alichonijibu
"Kama unataka kuingia jeshi kwa kuwa unaona ajira ni ngumu lakini moyo wako haukutumi kwenda jeshi acha usiende, na kama umeridhia kuingia kwa moyo wako wote na unaipenda moyoni basi ingia nitakusaidia kila kitu.."
Nikakaa nikawaza kama wiki hivi. Mwisho nikaamua nibaki kitaa nipambane....
Nakushauri achana na mambo ya jeshi kama moyo na dhamira yako haitaki...