Msaada: Kufanya vitafunwa vikae muda mrefu

Helow wakuu
Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike
Aksnte in advance
Tumia Nitrogen gas kwani huondoa oxygen content kwenye package na hivyo kuzuia viozeshaji vyote kwenye package na kuhakikisha freshness.
 
Tumia Nitrogen gas kwani huondoa oxygen content kwenye package na hivyo kuzuia viozeshaji vyote kwenye package na kuhakikisha freshness.
Mkuu shukrani,,naipata wapi hiyo??supermarket?haina madhara kwa walaji?
 
Mkuu shukrani,,naipata wapi hiyo??supermarket?haina madhara kwa walaji?
Inapatikana wapi sifahamu ila ninadhani TOL watakuwa nayo. Matumizi yake ni kutokana na sifa zake nimapana mno kama preservertive na inatumika duniani kote.
 
Inapatikana wapi sifahamu ila ninadhani TOL watakuwa nayo. Matumizi yake ni kutokana na sifa zake nimapana mno kama preservertive na inatumika duniani kote.
Wow,,shukrani,,ntaitafuta
 
Yafunge kwenye mfuko, au weka kwenye chombo chenye mfuniko (container au ndoo)
 
Naomba usimdanganye mwenzako tafadhali. Hakuna maandazi yanayoweza kukaa mwezi unless yawe yameekewa preservatives.
 
Reactions: amu
pamoja na kukandia mafuta ya moto ya aina yoyote lakini pia weka na samli kiasi kama vijiko 5 vya chakula kwa kola kilo moja ya unga wa ngano.SAMLI NI NATURAL PRESERVATIVE OIL KWA CHAKULA CHOCHOTE CHA NGANO IWE ANDAZI CHAPATI AU MKATE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…