Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Hiyo Red nimeipenda sana...Tena huwa anapita akisikia mabomu yamelipuka, mtoto kajikojolea na kwenda kuangalia mabeseni ya kuogeshea watoto pale uwanjani 77...Panda basi lolote linalopita kilwa road (linaweza kuwa Tandika, Temeke, Mtongani, Mbagala). Mwambie konda unashuka uhasibu. (ni baada ya kuvuka traffic lights ambazo huwaka akipita mkulu tu) Hapo hapo kuna geti la T I A.
Habar zenu wana jamvi,nilikuwa naomba msaada wa kufika
chuo cha uhasibu kutokea Posta
nahitajika kupanda magari gani?
Na pia kituo kipi nashukia!
Isingekuwa vibaya kma mngenijulsha gharama ya Bajaj kutokea Posta mpaka chuoni!
real crazy! i like it sababu umeongea ukweli....Hiyo Red nimeipenda sana...Tena huwa anapita akisikia mabomu yamelipuka, mtoto kajikojolea na kwenda kuangalia mabeseni ya kuogeshea watoto pale uwanjani 77...
karibu dar mkuu
Mkuu kwan kasema ye ni mgeni dar, kukaa bongo c kujua kila sehem wakati mwingine tunahitaji msaada hata kama ni wenyeji.
Umefika..?ahsanteni!
ahsanteni!
Panda basi la buguruni kisha chukua bus la chanika kisarawe shuka kiparang'anda
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums