msaada:kufika chuo cha uhasibu T.I.A

msaada:kufika chuo cha uhasibu T.I.A

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
32
Habar zenu wana jamvi,nilikuwa naomba msaada wa kufika
chuo cha uhasibu kutokea Posta
nahitajika kupanda magari gani?
Na pia kituo kipi nashukia!

Isingekuwa vibaya kma mngenijulsha gharama ya Bajaj kutokea Posta mpaka chuoni!
 
Gharama ya Bajaj sijui ila unapanda gari zinaenda Mbagala unashukia uhasibu hapo utaona geti la kuingia..utakuwa umefika..ngoja nikutumie nmaba ya mtu anayesoma hapo atakuelekeza vizuri..Ok
 
Masidie ndugu yetu naona ndio kwanza analiingia jiji, hata hivyo hakuna haja ya kupanda bajaj kwani daladala inamshushia langoni mwa chuo
 
Panda basi lolote linalopita kilwa road (linaweza kuwa Tandika, Temeke, Mtongani, Mbagala). Mwambie konda unashuka uhasibu. (ni baada ya kuvuka traffic lights ambazo huwaka akipita mkulu tu) Hapo hapo kuna geti la T I A.
 
....Hiyo Red nimeipenda sana...Tena huwa anapita akisikia mabomu yamelipuka, mtoto kajikojolea na kwenda kuangalia mabeseni ya kuogeshea watoto pale uwanjani 77...
 
Habar zenu wana jamvi,nilikuwa naomba msaada wa kufika
chuo cha uhasibu kutokea Posta
nahitajika kupanda magari gani?
Na pia kituo kipi nashukia!

Isingekuwa vibaya kma mngenijulsha gharama ya Bajaj kutokea Posta mpaka chuoni!

karibu dar mkuu
 
....Hiyo Red nimeipenda sana...Tena huwa anapita akisikia mabomu yamelipuka, mtoto kajikojolea na kwenda kuangalia mabeseni ya kuogeshea watoto pale uwanjani 77...
real crazy! i like it sababu umeongea ukweli
 
panda basi la mbagala au temeke linalopita kilwa road waambie wakushushe uhasibu
 
panda magari ya kilwa road unashuka sehem ambayo ina trafic light ambazo hazifanyi kazi
 
Mkuu kwan kasema ye ni mgeni dar, kukaa bongo c kujua kila sehem wakati mwingine tunahitaji msaada hata kama ni wenyeji.

sawa sawa mkuu.....my bad_i draw it back!
 
mkuu hata kwa mguu unatembea. sio mbali. sokoine drive hadi kirwa road. ukiona taa za barabarani kilwa road ujue ushafika. mia
 
ahsanteni!

halafu usisinzie, siombali sana na makonda huwa wanaangalia zaidi vichwa vinavyopanda kuliko kukumbuka msaada kwa anaeshuka. ukishapita polisi ufundi uanze kuwa standby, welcome tena
 
Panda basi la buguruni kisha chukua bus la chanika kisarawe shuka kiparang'anda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Panda basi la buguruni kisha chukua bus la chanika kisarawe shuka kiparang'anda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Huyu anakupoteza,fuata michango ya wana jf wengine ndiyo ya ukweli kufika T.I.A,Kituo kinaitwa UHASIBU basi lolote toka POSTA linalopita KILWA ROAD
 
Back
Top Bottom