Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

Ulivyoinunua ulikuwa unajua utatumia kama simu ya android au?

Soma vizuri au kacheki tutorial za kuhamisha files kutoka kwenye pc kwendwa kwenye simu kwa kutumia itunes
Sikununua nipewa zawadi. Thanks
 
Toka nizifahamu iPhone sijawahi sikia nikipiga ringtone zaidi ya zile pre installed, iPhone si za mchezo huwezi sikia eti "wanga wabaya"au "huyo miss buza"ikawa ringtone
Unaweza fanya.tatizo ni kipengere haswaaa na unapimiwa kipande cha kuweka huko.
 
Download program ya Itunes au 3utools kwenye Pc yako kisha fanya yako, ni simple tu utaweza kuhamisha music, photos, document, n.k.
Sio simple kama unavyotaka kumpanda mwenzako hapa.utakuta pia pc hana mwenzako alienda kwa warusha nyimbo hapo akawa anajaribu[emoji16][emoji16]
 
Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
Install documents app store.

Kisha kwa utulivu ingia yutube fuata maelekezo,ukiona mambo mengi muda mchache,mtafute mwenye android akurushie whatsapp.ila hazikai kwenye default player.
 
Toka nizifahamu iPhone sijawahi sikia nikipiga ringtone zaidi ya zile pre installed, iPhone si za mchezo huwezi sikia eti "wanga wabaya"au "huyo miss buza"ikawa ringtone
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa
 
Back
Top Bottom