CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kwanza elewa Nimekumiss Pia elewa kuwa umeadimika sana Pia Elewa kuwa ni Kweli AC inakula inaongeza ulaji wa Mafuta kwa kuwa inaongeza Mzunguko wa Accelerator... Ukinipigia nitakuelezea vizuriHamjamboje wana jukwaa...
Samahani kama hii mada itakuwa imeshajadiliwa, mnaweza kuiunganisha iwapo tayari imeshajadiliwa...
Nauliza kuna uhusiano gani kati ya unywaji wa mafuta kwenye garu na uwashaji wa AC..
Kuna siku tulikuwa tunabishana sana mahali fulani. Mwingine alisema ukiwasha AC gari linakunywa mafuta mengi na usipowasha linakunywa mafuta kidogo.
Wadau naombeni uzoefu wenu
CL
Nimesahau Pia kukupongeza kwa Kubadirisha Gari na Kununua Garo MpyaHamjamboje wana jukwaa...
Samahani kama hii mada itakuwa imeshajadiliwa, mnaweza kuiunganisha iwapo tayari imeshajadiliwa...
Nauliza kuna uhusiano gani kati ya unywaji wa mafuta kwenye garu na uwashaji wa AC..
Kuna siku tulikuwa tunabishana sana mahali fulani. Mwingine alisema ukiwasha AC gari linakunywa mafuta mengi na usipowasha linakunywa mafuta kidogo.
Wadau naombeni uzoefu wenu
CL
Asante mkuu, namba yako haipatikaniNimesahau Pia kukupongeza kwa Kubadirisha Gari na Kununua Garo Mpya
Hahaha Namba yangu haipatikaniAsante mkuu, namba yako haipatikani
Nyie mnajuana haaaah haaaahKwanza elewa Nimekumiss Pia elewa kuwa umeadimika sana Pia Elewa kuwa ni Kweli AC inakula inaongeza ulaji wa Mafuta kwa kuwa inaongeza Mzunguko wa Accelerator... Ukinipigia nitakuelezea vizuri
charminglady
Tunajuana Sana... Sema tu Huyu Mwenzangu Hela imemtembelea amenitupa jongoo na Mti wake... We Muache tu.. Ila Ikija Gereji mimi ndiye fundi wake
AC ndio nini?
Sio wote wanaoshusha vioo wanajaribu kuokoa kiwango fulani cha mafuta. Wengine wana matatizo ya kifua, pumu, mafua (allergy) watumiapo AC, ofsini, nyumbani au kwenye gari.
Daah! Brother, you have given the best answer ever in this thread! Asante sana mkuucharminglady kuhusu gari kutumia mafuta sana au la ukiwasha AC inategemea. Kama gari imesimama (mfano kwenye foleni) itatumia mafuta zaidi kwasababu engine inabidi ijiongeze nguvu kusukuma AC Compressor. Ndio maana utasikia mngurumo unapanda baadae unashuka, ukiangalia odometer yako utaona iwapo umewasha AC mshale wa rpm utapanda kutoka 500rpm hadi 800rpm hivi and vice versa.
Kama gari inatembea ukiwasha AC haiathiri chochote kwasababu engine inakuwa kwenye mzunguko mkubwa ambao unatosha kusukuma AC Compressor. Kwa kukuongezea tu ukiwa mwendo zaidi ya 50kph na ukifungua madirisha gari inatumia mafuta mengi zaidi kwa sababu ya drag, yaani inatumia nguvu kushindana na upepo.