Msaada kuhusu AC ya kwenye gari

Msaada kuhusu AC ya kwenye gari

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Hamjamboje wana jukwaa...

Samahani kama hii mada itakuwa imeshajadiliwa, mnaweza kuiunganisha iwapo tayari imeshajadiliwa...

Nauliza kuna uhusiano gani kati ya unywaji wa mafuta kwenye garu na uwashaji wa AC..

Kuna siku tulikuwa tunabishana sana mahali fulani. Mwingine alisema ukiwasha AC gari linakunywa mafuta mengi na usipowasha linakunywa mafuta kidogo.

Wadau naombeni uzoefu wenu

CL
 
Kwanza elewa Nimekumiss Pia elewa kuwa umeadimika sana Pia Elewa kuwa ni Kweli AC inakula inaongeza ulaji wa Mafuta kwa kuwa inaongeza Mzunguko wa Accelerator... Ukinipigia nitakuelezea vizuri

charminglady
 
Hamjamboje wana jukwaa...

Samahani kama hii mada itakuwa imeshajadiliwa, mnaweza kuiunganisha iwapo tayari imeshajadiliwa...

Nauliza kuna uhusiano gani kati ya unywaji wa mafuta kwenye garu na uwashaji wa AC..

Kuna siku tulikuwa tunabishana sana mahali fulani. Mwingine alisema ukiwasha AC gari linakunywa mafuta mengi na usipowasha linakunywa mafuta kidogo.

Wadau naombeni uzoefu wenu

CL
Nimesahau Pia kukupongeza kwa Kubadirisha Gari na Kununua Garo Mpya
 
Kumbuka Compressor ya AC inazungushwa na Engine ya Gari yako.. Hivyo ukiwasha AC unaiongezea kazi ya ziada gari yako ya kuzungusha AC hivyo Engine ya gari yako itabidi itumie nishati ya ziada kwa kazi hiyo!!
 
Jiachie bwana, we na hii vumbi yote ujibane kwa nn? Ile au inywe sawa tu..si unaijua ile v6 yangu (2700cc) mm hua fully time niko na kiyoyozi na kuna jamaa ana Raum (sijui cc ngap ila ni chini ya 1800)hajaribu hata kuwasha ac ndani ni vumbiii kisa mafuta.

Unaweza kuona ni suala la mentality tu na sio gari
 
Sio wote wanaoshusha vioo wanajaribu kuokoa kiwango fulani cha mafuta. Wengine wana matatizo ya kifua, pumu, mafua (allergy) watumiapo AC, ofsini, nyumbani au kwenye gari.
 
charminglady kuhusu gari kutumia mafuta sana au la ukiwasha AC inategemea. Kama gari imesimama (mfano kwenye foleni) itatumia mafuta zaidi kwasababu engine inabidi ijiongeze nguvu kusukuma AC Compressor. Ndio maana utasikia mngurumo unapanda baadae unashuka, ukiangalia odometer yako utaona iwapo umewasha AC mshale wa rpm utapanda kutoka 500rpm hadi 800rpm hivi and vice versa.

Kama gari inatembea ukiwasha AC haiathiri chochote kwasababu engine inakuwa kwenye mzunguko mkubwa ambao unatosha kusukuma AC Compressor. Kwa kukuongezea tu ukiwa mwendo zaidi ya 50kph na ukifungua madirisha gari inatumia mafuta mengi zaidi kwa sababu ya drag, yaani inatumia nguvu kushindana na upepo.
 
Duh sasa huyo anakufa akiwa anaishi Darwin? Maana ni fully ac kila sehemu..vitu vingine ni imani tu hakuna cha allergy wala nn
 
charminglady kuhusu gari kutumia mafuta sana au la ukiwasha AC inategemea. Kama gari imesimama (mfano kwenye foleni) itatumia mafuta zaidi kwasababu engine inabidi ijiongeze nguvu kusukuma AC Compressor. Ndio maana utasikia mngurumo unapanda baadae unashuka, ukiangalia odometer yako utaona iwapo umewasha AC mshale wa rpm utapanda kutoka 500rpm hadi 800rpm hivi and vice versa.

Kama gari inatembea ukiwasha AC haiathiri chochote kwasababu engine inakuwa kwenye mzunguko mkubwa ambao unatosha kusukuma AC Compressor. Kwa kukuongezea tu ukiwa mwendo zaidi ya 50kph na ukifungua madirisha gari inatumia mafuta mengi zaidi kwa sababu ya drag, yaani inatumia nguvu kushindana na upepo.
Daah! Brother, you have given the best answer ever in this thread! Asante sana mkuu

Sent from Moto G
 
Back
Top Bottom