CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Hamjamboje wana jukwaa...
Samahani kama hii mada itakuwa imeshajadiliwa, mnaweza kuiunganisha iwapo tayari imeshajadiliwa...
Nauliza kuna uhusiano gani kati ya unywaji wa mafuta kwenye garu na uwashaji wa AC..
Kuna siku tulikuwa tunabishana sana mahali fulani. Mwingine alisema ukiwasha AC gari linakunywa mafuta mengi na usipowasha linakunywa mafuta kidogo.
Wadau naombeni uzoefu wenu
CL