Msaada kuhusu Bachelor of Education with special needs

Msaada kuhusu Bachelor of Education with special needs

king roja

Senior Member
Joined
May 4, 2012
Posts
141
Reaction score
7
Wana JF Naomba kwa anae fahamu anifahamishe kuhusiana na hii Facult ya Bachelor education with special needs, na ni wapi ambapo ajira zake zinakuwepo. Nawasilisha kwenu
 
unaomba kufahamishwa juu ya education of special needs (BdsN) au ajira? Kuwa wazi nikufahamishe mkuu.
 
Wana JF Naomba kwa anae fahamu anifahamishe kuhusiana na hii Facult ya Bachelor education with special needs, na ni wapi ambapo ajira zake zinakuwepo. Nawasilisha kwenu

Hapo kwenye red sijaelewa ni kitu gani hicho. Ukimaliza mafunzo ya ualimu utapangiwa kufanya kazi kwenye shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu/walemavu.
 
unaomba kufahamishwa juu ya education of special needs (BdsN) au ajira? Kuwa wazi nikufahamishe mkuu.

ninachotaka kufahamu ni kuhusu hii facult mkuu na ni wapi ambapo unaweza kufanya kazi.

Swali lako hujaliuliza vizuri,kama unataka kujua facult ofEducation with special needs ,utajibiwa vizuri na watumishi au wanafunzi waliosoma ktk facult hiyo sijui ni chuo kipi kwanza,ila kama unataka kujua kuhusu degree ya Education with special needs utasaidiwa na wengi.Facult na degree zinazotolewa kwenye facult husika ni vitu viwili tofauti.Sasa wewe unatakakujua kuhusu nini?
 
Swali lako hujaliuliza vizuri,kama unataka kujua facult ofEducation with special needs ,utajibiwa vizuri na watumishi au wanafunzi waliosoma ktk facult hiyo sijui ni chuo kipi kwanza,ila kama unataka kujua kuhusu degree ya Education with special needs utasaidiwa na wengi.Facult na degree zinazotolewa kwenye facult husika ni vitu viwili tofauti.Sasa wewe unatakakujua kuhusu nini

nataka kufahamu kuhusu hii kozi yaan hapa kwenye special needs ndo ninapohitaji kufahamishwa yaan nahitaji ufafanuz wa hii kozi
 
Kazi zipo nyingi sana kuanzia serikalini na hata kwenye NGO'S. Na kwa chuo wanaotoa BdsN pale SEKUCO lushoto na hata Arusha maeneo ya tengeru pale patandi nahisi wanafundisha lkn kwa walimu walikuwepo kazini ila sio kwa level ya Barchelor.
 
Serikalini unaweza kupangiwa kuwa afisa elimu elimu maalum wa wilaya(special education officer) au kwenye vitengo vya shule vipo vingi ukagonge mayai huko au unaweza kuajiriwa kwenye ngos
 
Serikalini unaweza kupangiwa kuwa afisa elimu elimu maalum wa wilaya(special education officer) au kwenye vitengo vya shule vipo vingi ukagonge mayai huko au unaweza kuajiriwa kwenye ngos

asante mkuu mungu akubariki
 
karibu nitakupokea nipo hapo chuo,kwa maelezo zaidi juu ya chuo google sekuco utapata maelekezo yote!
 
karibu nitakupokea nipo hapo chuo,kwa maelezo zaidi juu ya chuo google sekuco utapata maelekezo yote!

sawa mkuu, kwa iyo una maanisha ni moja kati ya kozi ambayo ni nzuri kuisoma? Kwa7bu nilikuwa nishaanza kujutia maamuzi ya kuiomba kozi hiyo
 
Back
Top Bottom