DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Jikite katika MadaDuka la milioni 2 au tatu lakini mwenzako ameibiwa laki 5 unasema pesa ndogk
Hilo duka ni la bidhaa gani? Nijuavyo kuna kiwango cha mauzo kwa mwezi kama hukifikii hicho huwezi kuingia kwenye mfumo wa kulipa kodi..Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA?
Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA?
Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil. 2.
Mshana Jr
denooJ
Extrovert
Sky Eclat
Erythrocyte
Hope mtanipa majibu sahihi.
🤣🤣🤣Unataka Mshana Jr akupeleke kilingeni kusafisha nyota ya biashara?
Duka la matumizi mkuuHilo duka ni la bidhaa gani? Nijuavyo kuna kiwango cha mauzo kwa mwezi kama hukifikii hicho huwezi kuingia kwenye mfumo wa kulipa kodi..
Huo mtaji wa 2M unaweza kutosha kuanzia kama
1. Tayari umeshalipia fremu husika
2. Miundombinu iko tayari.. Mfano shelf nk
3. Hutegemei huo mtaji kwa matumizi binafsi
Kwa mujibu wa TRA enzi za kadi z Machinga ukiwa na mauzo ya 14M kwa mwaka basi unaingia kwenye category ya mlipa kodiHilo duka ni la bidhaa gani? Nijuavyo kuna kiwango cha mauzo kwa mwezi kama hukifikii hicho huwezi kuingia kwenye mfumo wa kulipa kodi..
Huo mtaji wa 2M unaweza kutosha kuanzia kama
1. Tayari umeshalipia fremu husika
2. Miundombinu iko tayari.. Mfano shelf nk
3. Hutegemei huo mtaji kwa matumizi binafsi
Mkuu ingia kwenye website ya TRA wameweka Viwango vya Taxable income kwa madaraja ya biasharaNaomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA?
Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA?
Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil. 2.
Mshana Jr
denooJ
Extrovert
Sky Eclat
Erythrocyte
Hope mtanipa majibu sahihi.
Unamaanisha matumizi ya vitu vya nyumbani?Duka la matumizi mkuu
Je kuna mabadiliko?Kwa mujibu wa TRA enzi za kadi z Machinga ukiwa na mauzo ya 14M kwa mwaka basi unaingia kwenye category ya mlipa kodi
Ndio Mkuu unga , ngano , mchele la rejareja.Unamaanisha matumizi ya vitu vya nyumbani?
Kwenye mauzo ya rejareja sijawahi kuonaNdio Mkuu unga , ngano , mchele la rejareja.