Msaada kuhusu biashara unahitajika haraka

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA?

Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA?

Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil. 2.

Mshana Jr
denooJ
Extrovert
Sky Eclat
Erythrocyte

Hope mtanipa majibu sahihi.
 
Hilo duka ni la bidhaa gani? Nijuavyo kuna kiwango cha mauzo kwa mwezi kama hukifikii hicho huwezi kuingia kwenye mfumo wa kulipa kodi..

Huo mtaji wa 2M unaweza kutosha kuanzia kama
1. Tayari umeshalipia fremu husika
2. Miundombinu iko tayari.. Mfano shelf nk
3. Hutegemei huo mtaji kwa matumizi binafsi
 
Duka la matumizi mkuu
 
Kwa mujibu wa TRA enzi za kadi z Machinga ukiwa na mauzo ya 14M kwa mwaka basi unaingia kwenye category ya mlipa kodi
 
Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA?

Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA?

Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil. 2.

Mshana Jr
denooJ
Extrovert
Sky Eclat
Erythrocyte

Hope mtanipa majibu sahihi.
Mkuu ingia kwenye website ya TRA wameweka Viwango vya Taxable income kwa madaraja ya biashara
 
Back
Top Bottom