kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Habarini,
Nahitaji ushauri juu ya gari BMW X3 kwa waliowahi kuitumia au wenye marafiki wanaoitumia ili mwisho huu wa mwaka niweze kutimiza ndoto zangu baada ya kutekeleza ushauri mwanana wa rais wetu "Kupaka vyuma grease ili vilegee". Vitu navyohitaji ushauri ni
Merry X-Mass and Happy New Year.

- Ni nchi gani nzuri kwa kuagiza hizi gari? Japan au UK/Germany? Watu wanasema ukiagiza kutoka Japan gari inakua nzuri zaidi kutokana na wao kutotumia sana gari hizo, UK unapata iliyotumika sana. Nini ushauri wako?
- Ulaji wa mafuta ukoje? kuna BMW X3 2.0 (Hizi nyingi zinatumia diesel), 2.5 na 3.0 kwenye normal use na long way use?
- Upatikanaji wake wa vipuri hasa kwa Dar-Es Salaam, vipi kuhusu mafundi wazuri wa hizo gari?
- Ushauri mwingine wowote utakaoona unafaa kwa ajili ya wote.
Merry X-Mass and Happy New Year.