Msaada kuhusu BMW X3

Msaada kuhusu BMW X3

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
2,921
Reaction score
7,173
Habarini,

Nahitaji ushauri juu ya gari BMW X3 kwa waliowahi kuitumia au wenye marafiki wanaoitumia ili mwisho huu wa mwaka niweze kutimiza ndoto zangu baada ya kutekeleza ushauri mwanana wa rais wetu "Kupaka vyuma grease ili vilegee". Vitu navyohitaji ushauri ni
  • Ni nchi gani nzuri kwa kuagiza hizi gari? Japan au UK/Germany? Watu wanasema ukiagiza kutoka Japan gari inakua nzuri zaidi kutokana na wao kutotumia sana gari hizo, UK unapata iliyotumika sana. Nini ushauri wako?
  • Ulaji wa mafuta ukoje? kuna BMW X3 2.0 (Hizi nyingi zinatumia diesel), 2.5 na 3.0 kwenye normal use na long way use?
  • Upatikanaji wake wa vipuri hasa kwa Dar-Es Salaam, vipi kuhusu mafundi wazuri wa hizo gari?
  • Ushauri mwingine wowote utakaoona unafaa kwa ajili ya wote.
    BF731365_be2c76.jpg
Natanguliza shukrani,
Merry X-Mass and Happy New Year.
 
1.Advantage ya kuagiza Japan bei ni rahisi na km kwa maandishi ni chache ila NAAMINI wanazichakachua.
2.Kuagiza UK bei iko juu na km ziko juu ila gari inakuwa nzuri sana kwa sababu wanazingatia service na MOT.
3.Spares zipo ukinunua nitafute nikupe maelekezo
4.Nunua ya petrol 2.5i au 2.5si ndio zinapatikana kwa wingi Japan
5.Nyingi ya hizi gari ni over 10yrs old kwahio usifikiri ni mpya, jiandane na marekebisho madogo madogo baada ya miezi miwili mitatu then u will be fine.
6.Uwe na hela na uipende hio GARI.....kama unashida ya usafiri nunua USAFIRI hio ni GARI sio usafiri.
 
Thanks mkuu ushauri mzuri sana huu
 
Nn tofauti ya GARI NA USAFIRI MKUU
 
Back
Top Bottom