Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narekodiwa na Nani?Be ware. Unarekodiwa
Asante sana mkuuJapan wakipita kwenye barabara za kulipia hicho kidude kinawasiliana na mifumo ya geti mfano pale daraja la Nyerere Kigamboni ku clear bill geti lifunguke automatically kuokoa muda.
Acha makasiliko Sheikh, simu ni yake, gari ni lake.kulikua na haja gani ya kupiga picha kubwa hivi, si upige kifaa chemyewe kionekane
Acha makasiliko Sheikh, simu ni yake, gari ni lake.
Over.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Lakin msaada tunatoa sisi, Kwa hyo afuate masharti yetuAcha makasiliko Sheikh, simu ni yake, gari ni lake.
Over.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
kila nikifungia picha huwa hazionekani karibia post zote tatizo niniNaomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinadanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.View attachment 2718681
Kidude chakeAcha makasiliko Sheikh, simu ni yake, gari ni lake.
Over.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app