Msaada kuhusu device hii kwenye Toyota Raum

Grand Canyon

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
545
Reaction score
1,191
Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
 
Japan wakipita kwenye barabara za kulipia hicho kidude kinawasiliana na mifumo ya geti mfano pale daraja la Nyerere Kigamboni ku clear bill geti lifunguke automatically kuokoa muda.
 
Japan wakipita kwenye barabara za kulipia hicho kidude kinawasiliana na mifumo ya geti mfano pale daraja la Nyerere Kigamboni ku clear bill geti lifunguke automatically kuokoa muda.
Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…