Bree77
Senior Member
- Apr 5, 2022
- 177
- 263
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale, nimeona tuu shida yangu niiweke hapa.
Anyway, Niko na shida kuhusu mambo ya system ya TRA (E-filling). Currently hapa ofisini kwetu mtu aliyekua anahusika na hayo mambo hayupo na majukumu hayo nimeachiwa mimi coz ni kama tulikua tunaingiliana kwenye baadhi ya tasks.
Sasa hii system naielewa kidogo sana, kuna vitu nilitamani kuvijua vizuri, na wala si vitu vingi . nikipata mtu ambae naweza muuliza "hiki ni nini?" Au "kinahitajika nini?" Itafaa sana.
Kama kuna mtu anahisi anaweza kunielekeza vizuri basi nitashukuru sana, mimi nipo Dodoma. Nisaidieni kwa hilo maana nilienda TRA lakin nao walikua busy na mimi nashindwa kuacha majukumu mengine ya kiofisi.