Msaada kuhusu e-Filling ya TRA

Msaada kuhusu e-Filling ya TRA

Bree77

Senior Member
Joined
Apr 5, 2022
Posts
177
Reaction score
263
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale, nimeona tuu shida yangu niiweke hapa.

Anyway, Niko na shida kuhusu mambo ya system ya TRA (E-filling). Currently hapa ofisini kwetu mtu aliyekua anahusika na hayo mambo hayupo na majukumu hayo nimeachiwa mimi coz ni kama tulikua tunaingiliana kwenye baadhi ya tasks.

Sasa hii system naielewa kidogo sana, kuna vitu nilitamani kuvijua vizuri, na wala si vitu vingi . nikipata mtu ambae naweza muuliza "hiki ni nini?" Au "kinahitajika nini?" Itafaa sana.

Kama kuna mtu anahisi anaweza kunielekeza vizuri basi nitashukuru sana, mimi nipo Dodoma. Nisaidieni kwa hilo maana nilienda TRA lakin nao walikua busy na mimi nashindwa kuacha majukumu mengine ya kiofisi.
 
Here I am mdau,
Unataka u file nini?
VAT ama PAYE/SDL?
Nicheki inbox mdau tupigane tag.
 
Vyote kwa ujumla, yani kuna maswali tuu nataka kuuliza
Uliza swali ujibiwe....na inabidi ili ufaili return lazima uwe appointed na kampuni kama declarant wa kampuni husika ndio utaweza kufile , Issue ni kudownload template zile za SDL,PAYE,na VAT unazijaza kulingana na data zako na return unayotaka kuifaili una-upload kutengeneza assessment.

Kuna muda mtandao unakuwa unasumbua sana ukiwa na hasira unaweza kuzira
 
Hapo kwenye mtandao kusumbua wakat wa kufile ndo kero yenyewe sasa
 
Back
Top Bottom