Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Habarini wakuu,

Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu.

karibuni..
 
Vingi ninavyoviona huwa ni vibovu bovu..sasa sijui wamiliki ndio tatizo au gari...kikubwa kumbuka tu,
GARI SIO MAFUTA TU...
 
Hiyo gari IPO chini Sana Kwa barabara zetu hizi za TANZANIA ni mtihani Tu ingawa mwendo upo wa kutosha
 
Jamaa yangu alikiagiza kikamsumbuaga sana akakiuza mkoani kwa hasara! Nmewahi kuona pia kwa east cars anasema zina matatizo mengi!
 
Kuna kimoja kitaa kipya namba D kimetaga zaidi ya mwaka watoto wanaichezea tu..sijui mwenyewe kaisusa,natamani nimpe hata hela nikapambane nacho but sijui A wala B ya changamoto zake
 
Habarini wakuu,

Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu.

karibuni..
Nunua ili mradi unaweza maintain, but ni among ya unreliable, un- dependable cars..
 
Back
Top Bottom