Ni sehemu gani unajenga mkuu?gharama za ujenzi hutofautiana sehemu na sehemu kulinganga na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi.
Una dharau sana wewe jamaaGharama yake ya ufundi
[emoji106]Swali lake ni malipo ya fundi tu, si vinginevyo!
Upo mkoa gani nikuunge na fundi aliyenijengea. Very affordable huyu jamaa.Fundi yupi tena? Nataka nipate uzoefu fundi wangu ndio kanipa hayo mahesabu na bado hatujafikia makubaliano..Binafsi naona mahesabu ni makubwa sana.
Kwa Dar tofali za msingi wengi wanafanya kwa 300 hadi 350, kwa tofali, Sh.500 huwa ni bei za Mafundi wa Kampuni za ujenziFundi yupi tena? Nataka nipate uzoefu fundi wangu ndio kanipa hayo mahesabu na bado hatujafikia makubaliano..Binafsi naona mahesabu ni makubwa sana.
Nakushukuru mkuu KWA msaada wa mawazo.Nadhani kuna aina ya upigaji maana ameniambia tofari za msingi tu ni 1255Kwa nyumba ya vyumba vitatu kwa jinsi alivyo nidadafulia...
Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni KWA majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba?
Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama itahusu pia kuchimba msimgi na gharama ya kumwaga zege la beam.
Je wewe ulitumia njia gani kupataa gharama ya ujenzi? Nitashukuru sana lwa mchango wenu wa mawazo.
Baada ya kupiga mahesabu jumla imefika milioni laki saba