Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beam

Nakushukuru mkuu KWA msaada wa mawazo.Nadhani kuna aina ya upigaji maana ameniambia tofari za msingi tu ni 1255
Ila alisema ameweka kujenga tofari moja 500 KWA sababu amekadiria ili gharama za msingi na zege la lintazipo ndani ya pesa hiyo
Duh mbona gharam itakuwa ndogo sana hivyo duh, hawa mafundi wetu sijui wanaishije aiseee
 
Imagine Kuchimba, kujenga tofali, kukunja nondo, kutengeneza Formwork, kumwaga Zege mtu analipwa Chini ya Milioni 1 dah, life ni gumu sio poa
 
Kama unauhakika nakazi yake ongea nae akufanyie kunawatu wanafanya kwagharama ndongo lakini kunasiri ndani yahiyo nafuu
 
Imagine Kuchimba, kujenga tofali, kukunja nondo, kutengeneza Formwork, kumwaga Zege mtu analipwa Chini ya Milioni 1 dah, life ni gumu sio poa
Unashangaa kuna mafundi wanachukua tenda ya kujenga darasa kuanzia msingi mpaka finishing kwa3M.
 
Raia mnashindwaje kupiga hesabu za makadirio? Fatilizia hata kwa nyumba iliokwisha jengwa basi upate scale halafu kakae upige hesabu
 
Acha ubahili. Fundi anaejielewa hawezi kukujengea nyumba hiyo chini ya 3.5m.
Nilishajenga nyumba miaka nane iliyopita,hii itakuwa nyumba ya pili.Sijui KWA sasa gharama ikoje.Kuuliza sio ujinga na nyumba ya kwanza nilitumia tofari za kuchoma na hii nataka kutumia tofari za block.
Usiwe na akili za kukatisha tamaa au ulitaka hapa jukwaani tuulize nini basi?
 

Acheni kuwalalia mafundi.
 
Mchina yeye analipa tofal moja sh 200 kujenga, kwaiyo yakuambiwa changanya na yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kujikusanyia fedha had hapo.

Kama hutojari , wasiliana na UVIMO ili tusaidiane kukotoa hesabu ikibidi utupe hyo kazi tukufanyie .

0753961896
0629361896
0753927572 wasap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…