Msaada kuhusu hii ndoto

Msaada kuhusu hii ndoto

Wadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani

Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu

Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote ,
Baada ya kuoa niliandamwa na mikosi mingi ambayo yote nilikuwa naiota kabla haijatokea

Naomba msaada ili nielewe ndoto zifuatazo:

1. Kuota nakamatwa na Polisi baadae nikatoroka nikakimbis speed
2. Nimeota mtu anakuja na gari jipya la kisasa na ghali Sana duniani nikawa napiga picha kwamba gari la ndugu yangu na watu wakaja wengi ikawa sherehe kubwa , lakini ghafla mama mmoja akawa anasema wanataka kuzika yeye anasema hawezi kuzika mme wa mtu bila mke wake kujua , akalazimishwa kwamba mwili umeoza tuzike akakataa


Je hizi ndoto Zina maana gani na je Zina impact katika maisha kwa kiwango gani

Kama Kuna msaada wa haraka kuzuia haya yote pia naomba kusaidiwa

Ndoto ni nyingi Ila hizi nimezipata jana
We dini gani,ungekuwa muislam ningekushauri Cha kufanya, hila ngojea waje wenzio wakuambie uende kwa wapigaji kina MWAMPOSA au kuhani Musa ukatapeliwe Zaid,

Wewe una jini la kichawi bilashaka
 
Hyo ya kwanza inaonyesha ulikamatika kifungoni kilichokufunda, then uka struggle kujitoa kifungoni, hyo ya pili sijaisoma nimecjoka
 
Kweli ulifukuzwa bila kosa? Maana ishu tu ya kutafuta tafsiri ya ndoto ni red flag.
 
Back
Top Bottom