Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sawa sawaa hiko ndio nataka kukijua sasa mkuuKama kuna vifaa vya kuchukua biometrics huko wilayani hakuna shida, ila kama hakuna lazima uende mkoani.
Nipo mbali na ofisi za wilaya ni zaidi ya km 50 sasa nataka kupata uhakika niende full documented ili nimalize kila kitu nauli ya kwenda kurudi sina mkuuKwanini usiende huko kwa wahusika wilayani wakakupe muongozo?
Hapo lazima ufike Tabora mjini...Wakuu habari
Nipo mkoani Tabora wilaya ya kaliua kata ya usinge
Nataka kukata passport ya kusafiria
Swali langu je
Fingerprint
Picha wanachukulia mkoani au hata wilayani?
Mana Nina pesa kama 160k kwa ajili kufatilia Hilo suala viambato vyote vipo je lazima niende mkoani au hapa hapa wilayani wanamalizia kila kitu?
Nenda mkoani wakizingua Nenda Dom au DaslamMmmh
Aisee kwaiyo KALIUA hakuna hudumaHapo lazima ufike Tabora mjini...