Whackiest
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 1,379
- 1,930
Baba huy mbwan sio mkuuKuna hizi breed ukikutana nazo zenye mafunzo kamilifu, kama kwenye mbwa hayupo umekwenda mbele ya haki
View attachment 1670968View attachment 1670969
Baba huy mbwan sio mkuuKuna hizi breed ukikutana nazo zenye mafunzo kamilifu, kama kwenye mbwa hayupo umekwenda mbele ya haki
View attachment 1670968View attachment 1670969
Hilo swali ukifika mbinguni kamuulize Kingunge ngombale mwiruSikia ndugu io kesi lazima ifanyiwe uchunguz kwanza umejuaje km ni mwiz pili nn kilimuuq maana mbwa pekee yke not easy binadamu ana uwezo wa kuua mbwa ni minutes km upo strong
Inategemea na aina ya mbwa.Mbwa peke yake sio kazi rahisi kumuua binadamu mtu mzima.
Tatizo jamaa anafuga mbwa koko.Inategemea na aina ya mbwa
OvaItakuwa vibaka nao wana vutambulisho vya wajasiliamali, atapewa kesi ya kuua mlipa kodi
Inategemea mfano nikiwa na panga nawamaliza dakika tu ila nikiwa mm bila silaha mmh imaweza nigharimu pia mwiz anaendaje kuiba bila silaha
Mbwa no.1 Kuna jamaa alimtaim. Ile ameruka kwa kunyanyua miguu ya mbele, mkono mmoja akawahi koromeo, na mwingine akashika mguu mmoja wa mbele. Ilikuwa kukuru- kakara, jibwa zito, lakini jamaa akawa na nguvu za ajabu!! Akatafuta mti uko wapi! paap! akalibeba jibwa mzobemzobe mpaka kwenye mti, akaanza kulipigisha kiuno chake huku na huku kama mara kumi hivi! Aaaa!! kulitupa chini kiuno chabwa kwisha kazi. Mwenye mbwa: Ooh! My dog, my dog, my dog, ooooh!!!! Hakuwa trespasser, alichelewa kwenye part, mlinzi akawa amemfungulia mbwa.Sikia ndugu io kesi lazima ifanyiwe uchunguz kwanza umejuaje km ni mwiz pili nn kilimuuq maana mbwa pekee yke not easy binadamu ana uwezo wa kuua mbwa ni minutes km upo strong
Huwajui mbwa. Au unawajua hawa kokoMbwa peke yake sio kazi rahisi kumuua binadamu mtu mzima
Umeandika vema. Kwa kuongeza...Ni American Pitbull au American Broiler? Navyojua broiler ni aina ya kuku wa kisasa maalum kwaajili nyama (Wanakua kwa haraka na wakubwa).
Anyway, turudi kwenye mada husika.
Sheria inasema unapoweka ulinzi wa kutumia "WANYAMA WAKALI au UMEME" ni lazima uweke kibao kwa nje kwenye geti la kuingilia nyumbani au ukutani kinachotoa "TAHADHARI/ONYO (Warning Sign)" juu ya uwepo wa hivo vitu.
Mfano, TAHADHARI KUNA MBWA WAKALI" au "TAHADHARI KUNA FENCE YA UMEME".
Ukifanya hivo ukaweka tahadhari nje ya uzio wako, basi atakaeingia ndani kwako iwe mwizi au mtu unaemfahamu au jirani tu, akapata madhara, unakua hauhusiki kwa lolote litakalo mtokea. Anakua amekaidi tahadhari uliompa.
Ila usipofanya kuweka tahadhari, basi mtu yoyote akidhurika utawajibika kwa tatizo lolote litakalo tokea kutokana na hivo vitu vyako vya ulinzi.
NOTE: Nia na madhumuni ya kuwepo kwa sheria, ni kwaajili ya kulinda haki za watu (hata kama mtu ni mwizi au muuwaji ila kuna sheria zinazolinda utu wake).
Hao rottweiler sio breed wanaua sekunde tu na germany sherphard umekwendaWewe jamaa uko sawa kweli?? Hivi hao mbwa huko juu wakiwa wawili unaweza kuwamudu wewe??
Mbwa akikushambulia barabara, anakuuawa. Mmesahau ya Mzée Kingunge?Mtu amrruka ukuta , usiku mkubwa alafu unataka kujua kama alikuea mwizi au laaa? hapo iyangaliwe kifo chake kimetokana na nn? ,mbwa anakuuwa bila ubishi ndugu ww sikia tu.
Hili ni shambulio la mbwa na halikuzidi dk 3Mbwa akikushambulia barabara, anakuuawa.Mmesahau ya Mzée Kingunge?
acha utani huyo wa chini ndio balaa hatakiwi hata kufugwa binadamu wanafosi kumfuga ndio maana police hawawatumii hao wanawatumia warembo huyo wa juuUyo wa juu ndio balaa zaid nasikia hana tofaut na simba na pia haruhusiw kufunguliwa ovyo ovyo
Unajidandanganya ww, labda unaongelea hao mbwa koko wa mtaani, kwa wale tuliokua tunaingia kimagendo kuiba mchanga wa madini kwenye mgodi wa Mwadui, kazi ya mbwa tunaijuaSikia ndugu io kesi lazima ifanyiwe uchunguz kwanza umejuaje km ni mwiz pili nn kilimuuq maana mbwa pekee yke not easy binadamu ana uwezo wa kuua mbwa ni minutes km upo strong
Sikia ndugu io kesi lazima ifanyiwe uchunguz kwanza umejuaje km ni mwiz pili nn kilimuuq maana mbwa pekee yke not easy binadamu ana uwezo wa kuua mbwa ni minutes km upo strong
Inategemea mfano nikiwa na panga nawamaliza dakika tu ila nikiwa mm bila silaha mmh imaweza nigharimu pia mwiz anaendaje kuiba bila silaha
Sasa anaekuuliza pia ana uhakika gani kama sio mwizi?Io ndio polisi nimeuliza apo juu watu wakaniona mm mjinga lazima wakuulize una uhakika gan km ni mwiz na sio kusema tu ni mwiz kisa karuka ukuta