Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Du! Hatari sana kumbe watu ni kupigwa tu za kichwa kwa kutokujua, sijui huku Mwanza Humidity ikoje.Kwa ujumla ni hovyo hasa kwa hali ya hewa ya DSM, zinahitaji low humidity hewa ya moto kavu, kufanya chochote angalau 30%->50% kwenda chini DSM humidity ni 70-80%
Mfano alichoweka iko pale Mlimani City Little Mall vinauzwa 140,000 Tsh, vinaitwa AborderNasikia hizo air cooler hamna kitu
Fan za kishua zikoje mkuuMfano alichoweka iko pale Mlimani City Little Mall vinauzwa 140,000 Tsh.
Aisee ni utopolo. Ukiweka ivo vidude vya blue unaviweka kwenye friji vinaganda barafu ndio unaviweka kwenye iyo mashine, mara mia uwekeze kwenye feni ya kishua.
Tower fansFan za kishua zikoje mkuu
Hizi vipi zinafanya vizuri?Tower fans
Hizo zinatoa upepo wenye ubaridiHizi vipi zinafanya vizuri?
Weka bei na mawasiliano. au hizi sifa ni kwa kuwa uzaziuza Mkuu? 😀Hizo zinatoa upepo wenye ubaridi
Hazina kelele
Zinachuja vumbi
Haziumizi kifua, anatumia mtoto au mtu mzima bila.shida
Ninazo za mtumba nyingi sana ninaziuza hapa Dar es salaam
karibu😁
Nipo Mikocheni B karibu na shule ya sekondari MikocheniWeka bei na mawasiliano. au hizi sifa ni kwa kuwa uzaziuza Mkuu? 😀
Tuone picha mkuu.Nipo Mikocheni B karibu na shule ya sekondari Mikocheni
Mawasiliano nakutumia PM
Tuone picha mkuu.
Naomba na bei