Msaada kuhusu jamii forum

Ni kweli yaani mda huu ndio inarudi hewani hata hawajaomba msamaha
 
Kwaupande wangu kuna baadhi ya thread hazitaki kufunguka, hasa kukwe majukwaa yangu pendwa (Jukwaa la michezo na International forum) hilo tatizo lina zaidi ya week sasa, sijui tatizo ni nini?

Moderator nifungulieni thread ya Manchester United, munanitesa sana.
 
Nikajua nimekula ban...

Nikajiuliza mbona Mimi sio mkorofi [emoji1787]

Ajabu naona notification ila siwezi kuingia...
 
Nimeweza kuingia dkk 5 zilizopita baada ya attempts nyingi toka asubuhi
 
Mimi shida kwangu ni notifications

Mara ya mwisho kama mnavyoona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…