Msaada kuhusu kozi ya basic truck driving veta na kozi ya heavy goods vehicle N.I.T

Msaada kuhusu kozi ya basic truck driving veta na kozi ya heavy goods vehicle N.I.T

Lugoda lwa chuma

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2023
Posts
202
Reaction score
379
Habari zenu wakubwa!

Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T?

Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama dereva wa lori pasipo kuwa na cheti cha H.G.V pale N.I.T?

Nawasilisha..
 
Kote veta au NIT utapata hizo licence class na certificate
 
Back
Top Bottom