Ferdinand Junior
Member
- Jan 27, 2021
- 31
- 21
Kuna thread kadhaa kuhusu manunuzi mtandaoniEbay.. Inakuwa vp taratibu zake had kunifikia hyo bidhaa
boss habari.Kuna thread kadhaa kuhusu manunuzi mtandaoni
Baadhi ni hizi
#1. Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
#2. Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)
#3. .
Inafikaboss habari.
mizigo toka AliExpress saivi inafika ama bado chenga ni nyingi?
shukran sana boss...,umenipunguzia hofuInafika
Muda wa kufika inategemea njia ya usafirishaji iliyotumia
Hapa chini: Nilitumia: AliExpress Standard Shipping
View attachment 1823804
Order time: May-25,2021 06:43
Delivered: June-15,2021 14:55
Ndani ya siku 10
View attachment 1823800
Hiyo Ali Express Standard shipping ni bei nafuu au nao ni kama DHLInafika
Muda wa kufika inategemea njia ya usafirishaji iliyotumia
Hapa chini: Nilitumia: AliExpress Standard Shipping
View attachment 1823804
Order time: May-25,2021 06:43
Delivered: June-15,2021 14:55
Ndani ya siku 10
View attachment 1823800
Ndio, ni nafuu sana.Ali Express Standard shipping ni bei nafuu
AhsanteNdio, ni nafuu sana.
Mfano kwa item ndogo kabisa kwa dhl waweza takiwa ulipie $44, ila kwa aliexpress standard shipping utajikuta umelipa kiasi cha $6.