Mkuu nimekusoma na ujumbe umefika.Kama kweli ni halali, uwe na vitambulisho vyako mfano cha taifa au kura, barua ya kijiji au serikali za mtaa ya utambulisho wa makaz
Taarifa zingine muhimu za umiliki wa chombo chako kama majina halisi no ya simu na anwani iliyotumika.
Kisha nenda kwenye vyombo husika kubadili usajili wako.
Fundi haujasomeka hasilani.!kila la kheri