Msaada kuhusu kubadili namba za pikipiki

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Habari yako mdau?
Kuna ndugu yangu anataka kubadiri namba za pikipiki yake ambayo ina zile za zamani za T 000 XXX na bahati mbaya kadi imepotea.

Kwa mwenye uelewa na hili la usajiri wakati kadi imepotea nini anaweza kufanya akapata usajiri mpya wa namba MC 000 XXX?

KY. Nawasilisha.
 
Kama kweli ni halali, uwe na vitambulisho vyako mfano cha taifa au kura, barua ya kijiji au serikali za mtaa ya utambulisho wa makaz

Taarifa zingine muhimu za umiliki wa chombo chako kama majina halisi no ya simu na anwani iliyotumika.

Kisha nenda kwenye vyombo husika kubadili usajili wako.
 
Mkuu nimekusoma na ujumbe umefika.

kila la kheri
Fundi haujasomeka hasilani.!
 
Police loss report... Copy ya kadi ya pikipiki iliyowahi kuthibitishwa na TRA... Kitambulisho chake, kama alinunua kwa mtu, mkataba wa mauziano...

Alafu aende TRA...

Cc: mahondaw
 
Comment deliver.
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom