Msaada kuhusu kudhulumiwa mirathi na hawara wa marehemu mume wangu

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
10,161
Reaction score
11,536
Nina ndugu yangu alikuwa ameolewa ndoa kanisani, waliishi miaka 12 ya ndoa.

Mume akaja kuanzisha maisha mapya na mwanamke mwingine, alikuwa ni mwanajeshi wanaishi katika nyumba za jeshi mke akaenda kwa ndugu zake mkoa huu hapa Arusha, mume akawa anaenda kulala kwa huyo mwanamke aliempangia chumba sehemu nyingine maana hakutaka kumpeleka kwenye nyumba aliyokuwa anakaa na mke.

Bahati mbaya siku moja anatoka kwa huyo mwakamke kwenda kwenda kazini akapata ajali akafariki dunia. kesi ya mirathi ikafunguliwa lakini yule hawara alikuwa ana ndugu yake alikuwa ni hakimu wa hiyo mahakama akampa ile cheki ya mirathi, mke wa marehemu akawa akienda mahakamani anaambiwa faili halionekani, hapo ni miaka miwili ya kufuatilia hiyo mirathi, karani akamuonea huruma na kumuambia ukweli cheki alishapewa mwenzake na hivyo hapo anazungushwa ili aache.

Akafungua kesi nyingine na yule mwanamke akatafutwa akashikwa akakubali kuchukua hela akasema akajengea nyumba ila atamlipa kwa kuwa eti na yeye alizaa na marehemu, ila akakubali kumlipa huyo mwenzake kiasi cha hela, akapewa dhamana na alie mdhamini ni mama yake mzazi. Sasa miaka inazidi kwenda mtuhumiwa haonekani na mama haji mahakamani ndugu yangu anahitaji msaada wa kumpatia haki yake kwani anaishi maisha magumu na watoto nayeye alikuwa mama wa nyumbani ila sasa anafanya biashara ndigondogo.

SAMAHANI KWA MAELEZO MAREFU. ASANTE KWA KUSOMA.
 
asante kwa ushauri. ila hizi mahakama zina shida sana sana kesi hazisikilizwi ni rushwa tupu.
 
Kwan msimamiz wa mirathi ukoo ulimchagua nan?
 
Piga simu hii kwa chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) utapata msaada wa kisheria murua. Do it now! This is a new hotline number, take advantage of its availability please.
0800751010
 
Kwan msimamiz wa mirathi ukoo ulimchagua nan?
mke halali wa marehemu, lakini mahakama ikamlipa huyo hawara kwa kutumia jina la mke, ikaonekana mke keshachukua mirathi na file likafichwa, ndio yakaibuka haya.
 
Nina ndugu yangu alikuwa
ameolewa ndoa kanisani, waliishi miaka 12 ya ndoa.

Mume akaja kuanzisha maisha mapya na mwanamke mwingine, alikuwa ni
mwanajeshi wanaishi katika nyumba za jeshi mke akaenda kwa ndugu zake
mkoa huu hapa Arusha, mume akawa anaenda kulala kwa huyo mwanamke
aliempangia chumba sehemu nyingine maana hakutaka kumpeleka kwenye
nyumba aliyokuwa anakaa na mke.

Bahati mbaya siku moja anatoka kwa huyo mwakamke kwenda kwenda kazini
akapata ajali akafariki dunia. kesi ya mirathi ikafunguliwa lakini yule
hawara alikuwa ana ndugu yake alikuwa ni hakimu wa hiyo mahakama akampa
ile cheki ya mirathi, mke wa marehemu akawa akienda mahakamani
anaambiwa faili halionekani, hapo ni miaka miwili ya kufuatilia hiyo
mirathi, karani akamuonea huruma na kumuambia ukweli cheki alishapewa
mwenzake na hivyo hapo anazungushwa ili aache.

Akafungua kesi nyingine na yule mwanamke akatafutwa akashikwa akakubali
kuchukua hela akasema akajengea nyumba ila atamlipa kwa kuwa eti na
yeye alizaa na marehemu, ila akakubali kumlipa huyo mwenzake kiasi cha
hela, akapewa dhamana na alie mdhamini ni mama yake mzazi. Sasa miaka
inazidi kwenda mtuhumiwa haonekani na mama haji mahakamani ndugu yangu
anahitaji msaada wa kumpatia haki yake kwani anaishi maisha magumu na
watoto nayeye alikuwa mama wa nyumbani ila sasa anafanya biashara
ndigondogo.

SAMAHANI KWA MAELEZO MAREFU. ASANTE KWA KUSOMA.

nenda ofisi za pccb zilizo karibu na wewe
 
Back
Top Bottom