Msaada: Kuhusu kufanya uhakiki wa ardhi

Commoner

Member
Joined
Dec 18, 2023
Posts
91
Reaction score
196
Habarini wakuu!

Hivi nawezaje kuhakiki uhalali/umiliki wa ardhi (Surveyed plot yenye registration plan number) pasipo kufika kwenye ofisi husika? Na ni ofisi gani natakiwa kuanza nayo; Manispaa au Wizarani? Kuna mfumo wowote wa kuhakiki mtandaoni?

Thanks in advance..
 
Ila Ujiandae Kuhangaishwa Hao Ni Sehemu Ya Tatizo Hao Jamaa
Huduma Ya Laki Utaambiwa Toa Laki Nne
 
Pia uwaga kuna official search unaweza fanya nenda Aidha ofisi za halmashaur au wizarani kabsa utapewa control number ulipie ni elfu arubaini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…