El khelafi
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 211
- 493
Wadau kama mnavojua selection zimetoka Jana na mdogo wangu amepangiwa huko Mbozi - Songwe shule ya Simbega.
Yaani ni mbali kutoka hapa na nauli yake ni kubwa. Huyu dogo kapiga sayansi vizuri, sema wamempanga HGE na hatuelew tufanye nini.
Kwahiyo wajuvi tusaidiane muongozo wa kuhama shule A-Level.