El khelafi
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 211
- 493
Neenda private kama unapesa ìla kwa mengine unapiteza tu mda.Wadau kama mnavojua selection zimetoka Jana na mdogo wangu amepangiwa huko MBOZI - SONGWE shule ya SIMBEGA yan ni mbali kutoka hapa na nauli yake ni kubwa Huyu dogo kapiga sayansi fresh sema wamempanga hge na hatuelew tufany nn kwaio wajumvi tusaidiane muongozo wa kuhama shule a-level
Mbali sanaSi aende alipopangiwa...tatizo nini
Madogo wa saa hz utawaweza bac, anataka cbgSasa 2 ya 20, science akasome comb ipii?? Unadhani waliompanga HGE ni wajingaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]