Msaada kuhusu kujaza fomu za Bahati Nasibu ya kwenda kuishi Marekani

Ebhana sikuona hiyo, nilijaza moja hata sikufatilia. Nimereview sahivi ndio naona option hyo haipo kweli mwaka huu. Unajua app yoyote ya kuedit picha mkuu unitajie? Blender


Upload picha uliopiga kwa simu au camera
Alafu kwenye vipimo weka height 1200 ร— weidh 1200 pixels

Kama picture ilikuwa na size eg 5mb , itaipunguza na kubaki 232 kbs,

232 kbs ndio size inayokubalika , ukiwa MB inakataa.
 
Si umeona hiyo fomu ya kujaza ? Kuna sehemu ya picha , na picha inayohitajika ni picha yenye background nyeupe na inapigwa kwa vipimo maalumu.


Kuhusu passport ni muhimu uwe nayo kwani ndio utambulisho wako , wewe apply kwanza ukikamilisha utatumiwa namba yako ya kufauatilia matokeo ,mwezi wa tano , baada ya kukamilisha application fanya mchakato wa kupata passport kubwa , ambayo utalipia 150

Vigezo vya kupata passport
-nida
- cheti cha kuzaliwa
-cheti cha kuzaliwa cha mzazi
-Barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wako wa kijiji.
-kitambulisho cha kazi/ au leseni ya biashara/ TIN no ya biashara

-Ukiwa na hivyo vitu ukienda migration unalipia 150 baada ya wiki mbili unapata passport kubwa, inafanya kazi kwa mda wa miaka 10.
 
Okay ๐Ÿ‘, ila form ya mwaka huu , haina option ya kujaza passport number.

Na ndio maana nime mpa muongozo mleta Uzi , aka check form kwenye account ya x ya ubalozi
Thanks fam kwa hii taarifa, ningeingiza watu chaka kwa kukariri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Its a SUCCESS!
 
Muamko ni mkubwa, nlkua kibo complex ndani mule janaa....watu kma wa5 naona wanapga pcha za USA๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜na hyo ilkua mchana. Bado asbh na jamaa anasema wadau ni wengi tu wanaendaa palee
Thanks fam kwa hii taarifa, ningeingiza watu chaka kwa kukariri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Its a SUCCESS!
 
Oyaa ukipata ukifika Amerika unapewa nini na nini kwanza? Nyumba? Gari? Kazi? ama ndio unaanza from scratch?
 
Muamko ni mkubwa, nlkua kibo complex ndani mule janaa....watu kma wa5 naona wanapga pcha za USA๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜na hyo ilkua mchana. Bado asbh na jamaa anasema wadau ni wengi tu wanaendaa palee
Nipo hapa kibo mkuu ni sehemu gani??
 
Nipo hapa kibo mkuu ni sehemu gani??
Kibo complex ukiingia usawa wa crdb benki nadhan nenda moja kwa moja unanyoosha kuna studio nadhan kama sio stationary inaitwa imageview hapo....waambie picha za USA wao wanajua....na pcha hyo ukiingza tu kwny phototool ya dv inakwambia kabisa imekubali vgezo haina haja ya cropping
 
Naona Passport ni lazima uwe nayo.
Hapo kwenye kipengele cha kuprepare suporting documents ipo ya kuattache photocopy ya biographic data page ya valid Passport. Kama inavyosema kwenye picha hii hapo chini
 
Naona Passport ni lazima uwe nayo.
Hapo kwenye kipengele cha kuprepare suporting documents ipo ya kuattache photocopy ya biographic data page ya valid View attachment 3139445Passport. Kama inavyosema kwenye picha hii hapo chini
VISA interview ni mbaka upate hiyo lottery kwanza. Lottery kuomba haina lazima uwe na passport kwanza. Ndicho tunachozungumza sisi hapo.

Bring your original passport plus one photocopy of the biographic data page to your visa interview at the U.S. Embassy or consulate.

Umeona hapo nimebold hayo maandishi??? Elewa hiyo vzuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ