MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
Habari wakuu,
Poleni kwa majukumu.
Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB.
Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama.
Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao wangu ndio changamoto. Nimejaribu hata Ku LOG IN, inaishia hapo kama inavyoonekana kwenye picha.