Naruhusiwa kukusahihisha??Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.
Annually Gross salary wamemuwekwa 27,100,000 TZSH.
Annually Basic salary wamemuwekea 16,300,000Tzsh.
House allowance annually wameweka 8,100,000Tzsh.
Kisha wameweka Transport allowance annually 2,700,00 Tzsh.
Je, kwa mwezi atachukua Net pay ya kiasi gani. Anaanza kazi mwezi ujao tare 1, anadaiwa Heslb pia
Ndio mkuu nlikosea kuandika.Basic na gross utakuwa una maanisha au? π€£
Basic salary ni mshahara wako wa pasipo other allowances.Mkuu mbona waweka mikono kichwani?. Kauliza tu Basic na annually kunatofauti gani yapaswa umsaidie kama wafahamu.
Per month wakila NSSF, PAYE, HESLB
Atabaki na around laki 6 au 7 yenye chenji chache
Naruhusiwa kukusahihisha??
Basic salary ni mshahara kabla ya kato lolote lile la ulazima mf. NSSF, HESLB, PAYEN
Ndio mkuu nlikosea kuandika.
Nimekusudia basic na gross?
Tofauti yake ipi?
Mkuu saidia kwenye kudadavua makato ya bwana mdogo.Basic salary ni mshahara wako wa pasipo other allowances.
Annual salary ni mshahara wako wa mwaka.
Sasa nimekuelewa shukran sanaBasic salary ni mshahara kabla ya kato lolote lile la ulazima mf. NSSF, HESLB, PAYE
Gross salary ni mshahara ambao bado haujakatwa chochote lakini wanaongezeamo na allowances and other benefits depends na ofisi.
Net pay salary: ni kile kitakachofika bank/ mkononi mwako baada ya makato
Kinachokatwa ni Basic salary au Gross salary?.Basic salary ni mshahara kabla ya kato lolote lile la ulazima mf. NSSF, HESLB, PAYE
Gross salary ni mshahara ambao bado haujakatwa chochote lakini wanaongezeamo na allowances and other benefits depends na ofisi.
Net pay salary: ni kile kitakachofika bank/ mkononi mwako baada ya makato
Basic salary ni mshahara wako pasipo posho yeyote kama ya nyumba, ugali, bodaboda nk:N
Ndio mkuu nlikosea kuandika.
Nimekusudia basic na gross?
Tofauti yake ipi?
Calculator yao yaonyesha PAYE after minus NSSF.Ingia TRA wana calculator yao pale.
Kinachokatwa Kodi zote ni Gross salary au Basic Salary?.Basic salary ni mshahara wako pasipo posho yeyote kama ya nyumba, ugali, bodaboda nk:
Gross salary ni mshahara wako woooote kabla ya kukatwa kodi, security funds, mkopo na pia ulio jumlisha posho kama ya nyumba, usafiri, breakfast nk:
Ukiisha iita gross salary it means imebeba mpk hizo allowances ulizo orodhesha hapo chini.Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.
Annually Gross salary wamemuwekwa 27,100,000 TZSH.
Annually Basic salary wamemuwekea 16,300,000Tzsh.
House allowance annually wameweka 8,100,000Tzsh.
Kisha wameweka Transport allowance annually 2,700,00 Tzsh.
Je, kwa mwezi atachukua Net pay ya kiasi gani. Anaanza kazi mwezi ujao tare 1, anadaiwa Heslb pia
Basic. Si nishakujibu?Kinachokatwa Kodi zote ni Gross salary au Basic Salary?.
Kinachoitwa Basic salary ni msharaha wako kabla ya makato yeyote napia pasipo kujumlisha posho yeyote.Kinachokatwa ni Basic salary au Gross salary?.
BASIC SALARY.Kinachokatwa ni Basic salary au Gross salary?.
Ukitoa hizo Kodi zote bila kujumlisha hizo allowance, kwenye basic Salary unapata net pay ya 819840/=Ukiisha iita gross salary it means imebeba mpk hizo allowances ulizo orodhesha hapo chini.
Usije ukawaza gross salary ni ka kitu ingine ukakasubiria mwisho wa mwezi π π π you will be disappointed.
Net pay hapo kwa hesabu za haraka haraka hatoki nje ya laki 6/ 7.
Sijakaa na calculator ila 8 hafiki naona.
NSSF hapo kama 130k, PAYE 250k kasoro, HESLB 190-200k
weka mchanganuo. Mm sipo na calculator hapa.Ukitoa hizo Kodi zote bila kujumlisha hizo allowance, kwenye basic Salary unapata net pay ya 819840/=
TRA wanakata kodi kwenye GossKinachokatwa Kodi zote ni Gross salary au Basic Salary?.
Ukikata Kodi zote kwenye basic Salary inakua hiviweka mchanganuo. Mm sipo na calculator hapa.