Msaada kuhusu makato ya Serikali

Msaada kuhusu makato ya Serikali

Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.

Annually Gross salary wamemuwekwa 27,100,000 TZSH.

Annually Basic salary wamemuwekea 16,300,000Tzsh.

House allowance annually wameweka 8,100,000Tzsh.

Kisha wameweka Transport allowance annually 2,700,00 Tzsh.

Je, kwa mwezi atachukua Net pay ya kiasi gani. Anaanza kazi mwezi ujao tare 1, anadaiwa Heslb pia
Naruhusiwa kukusahihisha??
 
N
Ndio mkuu nlikosea kuandika.

Nimekusudia basic na gross?

Tofauti yake ipi?
Basic salary ni mshahara kabla ya kato lolote lile la ulazima mf. NSSF, HESLB, PAYE

Gross salary ni mshahara ambao bado haujakatwa chochote lakini wanaongezeamo na allowances and other benefits depends na ofisi.

Net pay salary: ni kile kitakachofika bank/ mkononi mwako baada ya makato
 
Sasa nimekuelewa shukran sana
 
Basic salary ni mshahara kabla ya kato lolote lile la ulazima mf. NSSF, HESLB, PAYE

Gross salary ni mshahara ambao bado haujakatwa chochote lakini wanaongezeamo na allowances and other benefits depends na ofisi.

Net pay salary: ni kile kitakachofika bank/ mkononi mwako baada ya makato
Kinachokatwa ni Basic salary au Gross salary?.
 
N
Ndio mkuu nlikosea kuandika.

Nimekusudia basic na gross?

Tofauti yake ipi?
Basic salary ni mshahara wako pasipo posho yeyote kama ya nyumba, ugali, bodaboda nk:
Gross salary ni mshahara wako woooote kabla ya kukatwa kodi, security funds, mkopo na pia ulio jumlisha posho kama ya nyumba, usafiri, breakfast nk:
 
Kinachokatwa Kodi zote ni Gross salary au Basic Salary?.
 
Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.

Annually Gross salary wamemuwekwa 27,100,000 TZSH.

Annually Basic salary wamemuwekea 16,300,000Tzsh.

House allowance annually wameweka 8,100,000Tzsh.

Kisha wameweka Transport allowance annually 2,700,00 Tzsh.

Je, kwa mwezi atachukua Net pay ya kiasi gani. Anaanza kazi mwezi ujao tare 1, anadaiwa Heslb pia
Ukiisha iita gross salary it means imebeba mpk hizo allowances ulizo orodhesha hapo chini.
Usije ukawaza gross salary ni ka kitu ingine ukakasubiria mwisho wa mwezi 😅😅😅 you will be disappointed.

Net pay hapo kwa hesabu za haraka haraka hatoki nje ya laki 6/ 7.
Sijakaa na calculator ila 8 hafiki naona.
NSSF hapo kama 130k, PAYE 250k kasoro, HESLB 190-200k
 
Kinachokatwa ni Basic salary au Gross salary?.
Kinachoitwa Basic salary ni msharaha wako kabla ya makato yeyote napia pasipo kujumlisha posho yeyote.
Kinachoitwa Gross salary ni mshahara wako wote jumlisha na kilakiti hadi wewe mwenyewe.
Kinacho itwa Net salary ni kile kinacho bakia kwako baada ya kukatwa mikopo, kodi, mifuko ya hifadhi nakadhalika na kadhalika
 
Ukiisha iita gross salary it means imebeba mpk hizo allowances ulizo orodhesha hapo chini.
Usije ukawaza gross salary ni ka kitu ingine ukakasubiria mwisho wa mwezi 😅😅😅 you will be disappointed.

Net pay hapo kwa hesabu za haraka haraka hatoki nje ya laki 6/ 7.
Sijakaa na calculator ila 8 hafiki naona.
NSSF hapo kama 130k, PAYE 250k kasoro, HESLB 190-200k
Ukitoa hizo Kodi zote bila kujumlisha hizo allowance, kwenye basic Salary unapata net pay ya 819840/=
 
weka mchanganuo. Mm sipo na calculator hapa.
Ukikata Kodi zote kwenye basic Salary inakua hivi

10% ya nssf , inakua 10%×1,358,333.333= 135,833

Chukua basic Salary toa nssf

1,358,333-135,833= 1,222,200

Ukiweka hiki kiasi kwenye PAYE CALCULATOR unapata Kodi ya 194660.

Chukua heslb 15% ×1,358,333= 203,700

Chukua heslb 203,700+PAYE 194660+nssf 135833=535160 approximation.

Chukua basic Salary 1358333-535160=823,173 net pay. Sina calculator lkn nimetumia uzoefu tu wamakadirio.
 
Back
Top Bottom