Msaada kuhusu makumila universtiy

ajili ibrahim

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
73
Reaction score
3
Jaman wakuu naomba mnijuze kuusu chuo cha makumila kipo Arusha kitaaluma , mazingira yake, na vp kuusu maisha yahapo chuo kwa ujumla tafadhalini naomba msaada
 
Jaman wakuu naomba mnijuze kuusu chuo cha makumila kipo Arusha kitaaluma , mazingira yake, na vp kuusu maisha yahapo chuo kwa ujumla tafadhalini naomba msaada

Sio makumila ni MAKUMIRA ,TUMA, ila nimekuelewa,mazingira yako gd sana,taaluma not much bad,ni chuo cha kidini so dicspline ndio yakutosha, ok??
 
Bishop samy@ da umenitisha kidogo inamaana makumira university kwa upande ya kaakademiki ipo chini xio na vp location yake ipo mjini kabisa au?
 
Bishop samy@ da umenitisha kidogo inamaana makumira university kwa upande ya kaakademiki ipo chini xio na vp location yake ipo mjini kabisa au?

Sasa hata ukiambiwa sasa hivi utafanyaje? Andaa nguo za kujikinga na baridi na ukienda andaa fungu la kutosha sababu hostel hamna kupata ni bahati so itakubidi upange na chumba ni kuanzia elfu 50 mpaka 100. Ka hujatosheka nitafute
 
tx nt tru banah hostel zpo zakutosha ukitaka kukaa nje umependa mwnyw mbona,,, chuo kiko poa kmazngra na kitaaluma pia n akiko mbal na town xo u a most welcom bt displine z very important
 
1000 words@ please i need more details kuusu makumira xjui utanisaidiaje ktk hili
 
Oxlade@kwaiyo kwama mazingira hayo unanishauri niandae kama shiling ngap ili nisije nkaumbuka ktk miji ya watu màana Arusha mm xna ndugu wala jamaa yeyote
 
chuo kipo poa sana ila kama ulizoea kula chabo wakati wa mitihani hapa utanoa tunatumia CCTV cameras katika mitihani .majengo ni ya maana sana kama vipi vist www.makumira university.go.tz.utakacho kiona ni real pia kuhusu ACCOMODATION chuo kipo poa kwa madadazetu ila mamen lazima ukae mtaani kama vp chek hapa 0783785439
 
Kuna baridi kali sana ujipange japo msimu huu inapungua. kama wewe ni mdada usijaribu kuja pale na suruali, andaa magauni na sketi zenye haiba. Chuo kiko nje ya mji,nauli ni 600 to town.
 
hah ha cctv, chezea parsalaw wewe
 
Oxlade@kwaiyo kwama mazingira hayo unanishauri niandae kama shiling ngap ili nisije nkaumbuka ktk miji ya watu màana Arusha mm xna ndugu wala jamaa yeyote

andaa Millioni dogo, ada ni michango mingine, na hyo ya accomodation
 
tx nt tru banah hostel zpo zakutosha ukitaka kukaa nje umependa mwnyw mbona,,, chuo kiko poa kmazngra na kitaaluma pia n akiko mbal na town xo u a most welcom bt displine z very important

mkuu makumira kuna hostel za kutosha? ni kweli uyasemayo? waambie vijana ukweli ili wakifika wajue pa kuanzia la sivyo watakula msoto wa kufa mtu aisee kuhangaika kutafuta vyumba
 
mkuu makumira kuna hostel za kutosha? ni kweli uyasemayo? waambie vijana ukweli ili wakifika wajue pa kuanzia la sivyo watakula msoto wa kufa mtu aisee kuhangaika kutafuta vyumba

hostel pale ni shida sana labda akiwahi anaweza kupata ila kwa ujumla usiweke mategemeo jipange kupanga mtaani.
 
Bishop samy@ da umenitisha kidogo inamaana makumira university kwa upande ya kaakademiki ipo chini xio na vp location yake ipo mjini kabisa au?

baba Ibra,taaluma me naona ni moderate sana,some how gd,but not much,ila mm nalia na research na propasal zao kweli ziko poor,nimepitia baadhi walizo fanya ths year grama,lang,poor sana but zimekubalika,baba makumix pako gd kiasi ila ukilinganisha na udm makumix is exclent,lauli kutoka mosh ni 2500 - 3000,kutoka chuon mpaka town ni ts600,--kila ukipanda gari may be kutoka mji mdogo wa usa au tengeru kuja makumix ni Tsh@400, karibu sana Arusha
 
HahaHahaha eti ukilinganisha na udom..duh
 
HahaHahaha eti ukilinganisha na udom..duh

mkweli siku zote lazima apingwe,me ndio nakuambia makumix some how wako poa kuliko udom,utaki unaacha sio lazima,mesipendi sana kulinganisha chuo na chuo but habari ndio hiyo,no ligi on this,
 
mkweli siku zote lazima apingwe,me ndio nakuambia makumix some how wako poa kuliko udom,utaki unaacha sio lazima,mesipendi sana kulinganisha chuo na chuo but habari ndio hiyo,no ligi on this,

mkuu unachosema ni kweli, makumira inawezekana kabsa wakawa bomba kuliko udom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…