Jaman naomba mnisaidie kuhusu ni wapi naweza pata Mashine ya kusaga inayoweza tumia mota ya hs 60. Kwa sabab n nina mashine niliyotengezesha mtaan inasumbua kweli kila SIKU inapasuka. Walau iwe na uwezo wa kusaga walau hata tan moja na nusu kwa saa
Nenda SIDO au kama upo Dar es Salaam nenda pale chuo kikuu cha dar es salaam ulizia BICO ni wapi, wakikuelekeza ukifika BICO hapo utapata kila kitu mkuu.