msaada kuhusu mashine ya kusaga

msaada kuhusu mashine ya kusaga

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
10,677
Reaction score
11,768
Jaman naomba mnisaidie kuhusu ni wapi naweza pata Mashine ya kusaga inayoweza tumia mota ya hs 60. Kwa sabab n nina mashine niliyotengezesha mtaan inasumbua kweli kila SIKU inapasuka. Walau iwe na uwezo wa kusaga walau hata tan moja na nusu kwa saa
 
Nenda SIDO au kama upo Dar es Salaam nenda pale chuo kikuu cha dar es salaam ulizia BICO ni wapi, wakikuelekeza ukifika BICO hapo utapata kila kitu mkuu.
 
sido Moshi ndio wazuri,kuna mada kama hii ilishajadiliwa,na namba zao za simu zilipostiwa,just search utaiona hiyo thread
 
Back
Top Bottom