X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #241
Umewatetea mkuu...niambie ukweli hawakuniuzia mbegu....nilinunua micheRiz wan mbegu zao ni hybrid kama ilivyo za eden...assila...
Kujua kwa macho ngumu...ila ukisoma kwenye pakti utaona imeandikwa hybrid au f1!! Hii inamaanisha ni hybrid seeds!
Mkuu kama upo hapa DAR mbona mbegu bora za F1 za kila aina zinapatikana kariakoo. Nenda soko kuu la kariakoo kuanzia ground floor hadi ghorofa ya kwanza. Mbegu za kukamua hizo hutoa mazao duni machache na hushambuliwa sana na magonjwa. Tafuta uzi wa jamaa wa KILIMO MAARIFA upo humu JF jamaa atakupa ushauri mbegu gani ununue kutokana na muda na sehemu unayotaka kulima, kisha nenda kanunue Kariakoo.mkuu nipo dar-es-salaam huku ni joto sana....sijui hapo itakuwaje...
Asante ubarikiwe sana...Mkuu kama upo hapa DAR mbona mbegu bora za F1 za kila aina zinapatikana kariakoo. Nenda soko kuu la kariakoo kuanzia ground floor hadi ghorofa ya kwanza. Mbegu za kukamua hizo hutoa mazao duni machache na hushambuliwa sana na magonjwa. Tafuta uzi wa jamaa wa KILIMO MAARIFA upo humu JF jamaa atakupa ushauri mbegu gani ununue kutokana na muda na sehemu unayotaka kulima, kisha nenda kanunue Kariakoo.
Karibu sana. Ubarikiwe pia.Asante ubarikiwe sana...
sijajua kwa sasa maana nipo dar.Asila iko vizuri inavumilia magonjwa na uhaba wa maji lakini inazaa mazao kidogo. Panda eden itakuokoa inazaa vizuri. Morogoro sahivi ndoo ya nyanya sh ngp
Ni hizi jamii za tanya, lakin sio hybridAsante. Ila naomba kujua kuhusu rio grand mkuu ndio mbegu za aina gani...¿
Mimi ndio Kwanzaa nimeingia kwenye kilimo na nimelima hizo Assila F1 mpaka sasa zina siku 21 tangu nimehamisha shamban. .. Kwa nilichoona hawa cutworms walikula ila nilipiga Dudu All nikachanganya na Ridomill ajili ya ukungu, Baada ya siku 10 nikapiga tena Ridomill nikachanganya na Ebony M72, Baada ya siku tatu nikapiga Polyfeed Starter tare 5/6 nimeweka mbolea ya Yaramila. Kuna mdudu aliingia kwenye shina mbili nimepiga dawa ya Prove...Nyanya zinaendelea vizuri na sijawahi kunyeshea maji tangu nizipande shamban, Ila cutworms walinikaribisha shamban! Ningependa kujua kama kunao uwezekano wa kuwaua hawa minyoo kabla ya kupanda....?kuna hizi mbegu zinaitwa ASSILA nasikia ndio mkombozi kwa wakulima hasa wa morogoro
Correction! Baada ya siku 10 nilipiga Dudu All nikachanganya na Ebony M72 Ridomill nilipiga mara moja tuMimi ndio Kwanzaa nimeingia kwenye kilimo na nimelima hizo Assila F1 mpaka sasa zina siku 21 tangu nimehamisha shamban. .. Kwa nilichoona hawa cutworms walikula ila nilipiga Dudu All nikachanganya na Ridomill ajili ya ukungu, Baada ya siku 10 nikapiga tena Ridomill nikachanganya na Ebony M72, Baada ya siku tatu nikapiga Polyfeed Starter tare 5/6 nimeweka mbolea ya Yaramila. Kuna mdudu aliingia kwenye shina mbili nimepiga dawa ya Prove...Nyanya zinaendelea vizuri na sijawahi kunyeshea maji tangu nizipande shamban, Ila cutworms walinikaribisha shamban! Ningependa kujua kama kunao uwezekano wa kuwaua hawa minyoo kabla ya kupanda....?
Asante mkuu..hawa wauzaji wa mbegu ya eden ni kampuni gani...naiona imetajwa sana na wengi
mkuu ww unalima wapi?Mimi ndio Kwanzaa nimeingia kwenye kilimo na nimelima hizo Assila F1 mpaka sasa zina siku 21 tangu nimehamisha shamban. .. Kwa nilichoona hawa cutworms walikula ila nilipiga Dudu All nikachanganya na Ridomill ajili ya ukungu, Baada ya siku 10 nikapiga tena Ridomill nikachanganya na Ebony M72, Baada ya siku tatu nikapiga Polyfeed Starter tare 5/6 nimeweka mbolea ya Yaramila. Kuna mdudu aliingia kwenye shina mbili nimepiga dawa ya Prove...Nyanya zinaendelea vizuri na sijawahi kunyeshea maji tangu nizipande shamban, Ila cutworms walinikaribisha shamban! Ningependa kujua kama kunao uwezekano wa kuwaua hawa minyoo kabla ya kupanda....?
Nashukuru sana mkuu... bado dawa zinanichanya matumizi yake, mwanzo huwa ni mgumu ila kitaeleweka tu.Ebony m72 ni ya kutibu ugonjwa wa fungicides na m80 ni kinga. Hao wadudu wanaokata ni rahisi tu kuwamaliza hizo dawa ulizo piga. Siku nyingine upige dawa kwenye udongo kabla hujapandikiza mimea yako
Usijari Mungu yupo pamoja nawe...Nashukuru sana mkuu... bado dawa zinanichanya matumizi yake, mwanzo huwa ni mgumu ila kitaeleweka tu.
Amen MkuuUsijari Mungu yupo pamoja nawe...
Pole,Umewatetea mkuu...niambie ukweli hawakuniuzia mbegu....nilinunua miche
Kila mmoja umenigharimu shilingi 144...nilisafiri kwa tabu kutoka bagamoyo hadi dar kwa pikipiki...kuisafirisha miche 500 ya Nyanya duh...sitoisahau ile safariPole,
Naona akaunti yako ya kwanza ilikula kifungo, Umenunua wapi miche?? kwa gharama gani??
Na Nyanya unapanda kwa interval gani??
Ilikua nanini mkuu mpaka hutaisahauKila mmoja umenigharimu shilingi 144...nilisafiri kwa tabu kutoka bagamoyo hadi dar kwa pikipiki...kuisafirisha miche 500 ya Nyanya duh...sitoisahau ile safari
Mbona umejibu maswali nusu??Kila mmoja umenigharimu shilingi 144...nilisafiri kwa tabu kutoka bagamoyo hadi dar kwa pikipiki...kuisafirisha miche 500 ya Nyanya duh...sitoisahau ile safari
Nimepanda kwa interval¿ hapo sikuelewa nidadavuliePole,
Naona akaunti yako ya kwanza ilikula kifungo, Umenunua wapi miche?? kwa gharama gani??
Na Nyanya unapanda kwa interval gani??