hebu weka picha mkuu?Wadau toka juzi nimepatwa na maumivu makali kwenye kidole, mara baada ya kuuliza nikaambiwa kuna mdudu kaingia kidoleni, so kwa sasa nina hali ya maumivu makali eneo la kidole cha kati.
Mwenye kuweza kujua dawa tafadhali tujulishane.
Nawasilisha.
[emoji115] Kupima afya ni mara moja kwa mwaka, au pengine uhumwe ndiyo nafasi ya kupima!.Mkuu mara ya mwisho umepima lini afya yako?
Ndulele ndiyo nini? Hebu nisaidie, yawezekana kabila lako mnaita tofauti na mimi mkuu..!!Ndulele weka atakufa huyo mdudu
Ndulele ni kitu gani?,naomba kusaidiwa hapaNdulele weka atakufa huyo mdudu
Ponda kitunguu swaumu funga hapo utapata matokeo mazuriWadau toka juzi nimepatwa na maumivu makali kwenye kidole, mara baada ya kuuliza nikaambiwa kuna mdudu kaingia kidoleni, so kwa sasa nina hali ya maumivu makali eneo la kidole cha kati.
Mwenye kuweza kujua dawa tafadhali tujulishane.
Nawasilisha.
Ndulele ndo nini mkuu?Ndulele weka atakufa huyo mdudu
Vitunda fulani vinavyofanana na nyanya chungu ndogo.[emoji115] Kupima afya ni mara moja kwa mwaka, au pengine uhumwe ndiyo nafasi ya kupima!.
Wewe ulitaka kusema nini, maana unatoka nje ya topic kilanja..!!
Ndulele ndiyo nini? Hebu nisaidie, yawezekana kabila lako mnaita tofauti na mimi mkuu..!!