TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Wadau toka juzi nimepatwa na maumivu makali kwenye kidole, mara baada ya kuuliza nikaambiwa kuna mdudu kaingia kidoleni, so kwa sasa nina hali ya maumivu makali eneo la kidole cha kati.
Mwenye kuweza kujua dawa tafadhali tujulishane.
Nawasilisha.
Mwenye kuweza kujua dawa tafadhali tujulishane.
Nawasilisha.