shukran sanaHauna haja ya kutembea na covernote,japo kwa kuwa huu mfumo ni wa kidijitali basi unakuwa na uthibitisho katika simu yako na unakuwa salama.
Lakini pia kama gari hiyo mnatumia mtu zaidi ya mmoja nenda print certificate ile ya kielektroniki uiweke kwenye droo ya gari kama unavotembea na kadi ya gari tu.
Trafiki atakayeleta nongwa hapo bila kuwa na mashine kuhakiki hilo siyo kosa lako ni lake.
Tiramis.tira.go.tz au download app yenye jina tiramisOnline tunaangalizia kwa address ipi? Wekeni link ya kuangalizia online
Nina gari mbili, moja nimeikatia crdb nyingine BUMACO, zote mbili hazioneshi. Nimepigwa au ni hii system mbovu?Tiramis.tira.go.tz au download app yenye jina tiramis
Kama hautajali nipe namba yako ya gari inbox nitakupa majibuNina gari mbili, moja nimeikatia crdb nyingine BUMACO, zote mbili hazioneshi. Nimepigwa au ni hii system mbovu?
Kuna utaratibu wa kupigiwa simu ya ukumbusho na kampuni ya bima tarehe ya mwisho inapokaribia, japo sina uhakika kama makampuni yote yanafanya hivyo.hapana, traffic akichukua namba za gari tu na kuweka kwenye mashine inaonesha kama umelipa au la
ila jitahidi kukumbuka umenunua lini?, coz sasa hivi ni ngumu kukumbuka umenunua lini , hamna kikumbushio cha stika mbele ya kioo
Weka namba za gari hapa tukusaidieNina gari mbili, moja nimeikatia crdb nyingine BUMACO, zote mbili hazioneshi. Nimepigwa au ni hii system mbovu?
Online tunaangalizia kwa address ipi? Wekeni link ya kuangalizia online
Kampuni ya bima uliyokata ndiyo inaweza kuwa changamoto,labda bado hawajaziweka kwenye database..Nina gari mbili, moja nimeikatia crdb nyingine BUMACO, zote mbili hazioneshi. Nimepigwa au ni hii system mbovu?
Hii inafanya, asante sana
Haujapigwa, kampuni huwa wanamchezo wa kutopeleka taarifa za insurance ya gari zako kwa wakati sahihi kwenye mfumo wa TIRA.Nina gari mbili, moja nimeikatia crdb nyingine BUMACO, zote mbili hazioneshi. Nimepigwa au ni hii system mbovu?
Hakika...Hauna haja ya kutembea na covernote,japo kwa kuwa huu mfumo ni wa kidijitali basi unakuwa na uthibitisho katika simu yako na unakuwa salama.
Lakini pia kama gari hiyo mnatumia mtu zaidi ya mmoja nenda print certificate ile ya kielektroniki uiweke kwenye droo ya gari kama unavotembea na kadi ya gari tu.
Trafiki atakayeleta nongwa hapo bila kuwa na mashine kuhakiki hilo siyo kosa lako ni lake.