judy0
Member
- Mar 28, 2021
- 43
- 163
Habari za siku nyingI wana jf?
Poleni sana na kazi.
Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika.
*Hivi mfumo unachaguaje watu?
*Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na watu wangapi?
*Je hao watu ni watu wanaojulikana au la? Vipi kuhusu uaminifu wao katika kuingilia huo mfumo ili kuingiza watu wao?
*Je n mfumo unafanya kazi tangia mwanzo hadi mwisho bila kuhusisha manual work?
Aliye na uelewa na huu mfumo wa TAMISEMI anitoe kibanzi tafadhari. Maelezo ya DM napokea pia.
Asante