Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uzwazwa wewe kuwa muislam c kigezo ......kawnza we muislamu, kama sio tafuta banki nyingne
pili mtaji wko shiling ngap?
unarecord za mauzo na mapato?
mwisho wataka kiasi gani cha mkopo?
Acha uzwazwa wewe kuwa muislam c kigezo ......
Kwa vigezo hivyo mkopo unapata, ila karibia benki zote za kiislam kabla ya kupata mkopo unapaswa uwe na account ambayo imefikisha muda wa miezi 6 na kuendelea ndipo ufanikiwe maombi yakoMkuu mimi ndiye nimeulizasswali
Mimi ni mpagani , mtaji nina m2, kumbukumbu za mauzo na mapato zipo!
Mkuu kama huna taarifa sahihi ni bora ukiri kuwa hujui kuliko kutoa habari zisizo za ukweli. Benki za kiisilamu zinafuata taratibu za kiisilamu haswa kwa kutokutoza riba. Kumbuka sio benki za waisilam bali ni benki zenye kufuata taratibu za kiisilamu.kawnza we muislamu, kama sio tafuta banki nyingne
pili mtaji wko shiling ngap?
unarecord za mauzo na mapato?
mwisho wataka kiasi gani cha mkopo?
Nimewahi fika Amana Bank Pugu Rd kuulizia. Dini sio kigezo,Wanakopesha mtu wa dini yeyote. kama alivyosema mdau hapo juu .....,uwe na Acc kwa miezi zaidi ya 6.Mkuu kama huna taarifa sahihi ni bora ukiri kuwa hujui kuliko kutoa habari zisizo za ukweli. Benki za kiisilamu zinafuata taratibu za kiisilamu haswa kwa kutokutoza riba. Kumbuka sio benki za waisilam bali ni benki zenye kufuata taratibu za kiisilamu.
Mtu yeyote anaruhusiwa kupata huduma bila kujali dini yake.
ACHA UPOTOSHAJI HUDUMA ZA ISLAMIC HAZIBAGUI DINI NA WATUMIAJI WAKUBWA DUNIANI NI WASIOKUWA WAISLAM KULIKO WAISLAM WENYEWEkawnza we muislamu, kama sio tafuta banki nyingne
pili mtaji wko shiling ngap?
unarecord za mauzo na mapato?
mwisho wataka kiasi gani cha mkopo?
1.uwe na account for atleast 6 months kwenye bank unayotaka kukopa au uwe unaendesha account benki yingine kwa angalau miezi 12 hivyo utawasilisha statement
2.uwe na biashara hai ndani ya Tanzania
3.Ikumbukwe kwa namna ya usimamizi huwa fedha cash haitolewi kwa mkopaji bali hupatiwa mali/bidhaa ambazo yeye anafanyia biashara na zinakuwa na thamani ya mkopo aliopewa.
4. Kutokana na concept namba 3,taasisi ya fedha humuuzia mkopaji bidha hizo hivyo hutakiwa kulipa kwa faida itokanayo na yeye kuuza zile bidhaa au mali.
5.kiukweli aina hizi za mikopo ni rahisi maana hata ukikwama ile faida ulipayo haibadiliki ukilinganisha na mikopo ya kawaida riba humultiply
Labda nirahisishe maelezo. Msingi mkubwa islamic banking, wanataka MGAWANE KILE ULICHOPATA, na sio UWALIPE RIBA.Ahsante utamu wa pipi