Msaada kuhusu mikopo benki ya kiislam

Msaada kuhusu mikopo benki ya kiislam

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu,wadau naomba kuongeza elimu! Nimekuwa nikifuatilia kuhusu islamic banking. Naomba kuelewa zaidi kuhusu mkopo.Kwa mfano kama nafanya biashara ya duka la nguo ,nitapatiwaje mkopo wa biashara hii!
 
kawnza we muislamu, kama sio tafuta banki nyingne

pili mtaji wko shiling ngap?
unarecord za mauzo na mapato?

mwisho wataka kiasi gani cha mkopo?
 
Mkuu mimi ndiye nimeulizasswali
Mimi ni mpagani , mtaji nina m2, kumbukumbu za mauzo na mapato zipo!
 
Mkuu mimi ndiye nimeulizasswali
Mimi ni mpagani , mtaji nina m2, kumbukumbu za mauzo na mapato zipo!
Kwa vigezo hivyo mkopo unapata, ila karibia benki zote za kiislam kabla ya kupata mkopo unapaswa uwe na account ambayo imefikisha muda wa miezi 6 na kuendelea ndipo ufanikiwe maombi yako
 
kawnza we muislamu, kama sio tafuta banki nyingne

pili mtaji wko shiling ngap?
unarecord za mauzo na mapato?

mwisho wataka kiasi gani cha mkopo?
Mkuu kama huna taarifa sahihi ni bora ukiri kuwa hujui kuliko kutoa habari zisizo za ukweli. Benki za kiisilamu zinafuata taratibu za kiisilamu haswa kwa kutokutoza riba. Kumbuka sio benki za waisilam bali ni benki zenye kufuata taratibu za kiisilamu.
Mtu yeyote anaruhusiwa kupata huduma bila kujali dini yake.
 
Nimewahi fika Amana Bank Pugu Rd kuulizia. Dini sio kigezo,Wanakopesha mtu wa dini yeyote. kama alivyosema mdau hapo juu .....,uwe na Acc kwa miezi zaidi ya 6.
Kiwango utakacho chukua kurudisha kuna pasenti inaongezeka,Ila kwa Maelezo ya mtaalam nilie mkuta anasema sio Riba.

Nafikiri labda Huenda ikawa ni "Service Charge".
 
Wao wana kitu wanasema ni service charge na sio riba lkn ni almost yaleyale
 
kawnza we muislamu, kama sio tafuta banki nyingne

pili mtaji wko shiling ngap?
unarecord za mauzo na mapato?

mwisho wataka kiasi gani cha mkopo?
ACHA UPOTOSHAJI HUDUMA ZA ISLAMIC HAZIBAGUI DINI NA WATUMIAJI WAKUBWA DUNIANI NI WASIOKUWA WAISLAM KULIKO WAISLAM WENYEWE
 
1.uwe na account for atleast 6 months kwenye bank unayotaka kukopa au uwe unaendesha account benki yingine kwa angalau miezi 12 hivyo utawasilisha statement
2.uwe na biashara hai ndani ya Tanzania
3.Ikumbukwe kwa namna ya usimamizi huwa fedha cash haitolewi kwa mkopaji bali hupatiwa mali/bidhaa ambazo yeye anafanyia biashara na zinakuwa na thamani ya mkopo aliopewa.

4. Kutokana na concept namba 3,taasisi ya fedha humuuzia mkopaji bidha hizo hivyo hutakiwa kulipa kwa faida itokanayo na yeye kuuza zile bidhaa au mali.

5.kiukweli aina hizi za mikopo ni rahisi maana hata ukikwama ile faida ulipayo haibadiliki ukilinganisha na mikopo ya kawaida riba humultiply
 
Back
Top Bottom