MSAADA: Kuhusu Mimba

MSAADA: Kuhusu Mimba

Kitaalamu inaitwa "Quickening", mara ya kwanza mama mjamzito kumskia mtoto akicheza tumboni. Kawaida inaweza kuanza toka wiki ya 16 hadi ya 25 ya ujauzito. Ila itategemea Mama na Mama, hali kadhalika ujauzito na ujauzito. Cha maana, kama unawasiwasi na mama anaona ya kwamba mimba haikui, basi mpeleke akapimwe. Ultrasound itaonyesha mtoto anaendeleaje. Katika karne ya 18 "quick" ilimaanisha uhai (alive). Mwanasheria aliyebobea wa wakati huo William Blakstone, alisema "quickening" ni mwanzo wa maisha au uhai.
Mapigo ya moyo yanaanza kusikika toka wiki ya 20 kwa chombo asilia cha wakunga wetu "foetoscope", ila kwa ultrasound toka wiki ya tano/sita moyo utaokena vizuri ukidunda.
 
Ahsante Sana mkuu
 
wengn wanadai ukiwa mnene sana ngum kias kusikia hizo movements!sijui km yana ukweli!
 
Na pia ila mama kama mabadiliko mengine ya mimba anayaona kama " morning sickness" maudhi ya mimba eg.kichefuchefu,kutapika etc na " fundal height "/ tumbo linaongezeka mtoto ni mzima...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa

Iv Iyo morning sickness na kichefuchefu vmeisha
Ila Mimba Inakua.
Ngoja tusubr wik 22
 
Back
Top Bottom