Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mimi mzima aiseeLeo namba yako umepigwa chini ha ha ha ha mzima lakin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mzima aiseeLeo namba yako umepigwa chini ha ha ha ha mzima lakin
Ahsante Sana mkuuKitaalamu inaitwa "Quickening", mara ya kwanza mama mjamzito kumskia mtoto akicheza tumboni. Kawaida inaweza kuanza toka wiki ya 16 hadi ya 25 ya ujauzito. Ila itategemea Mama na Mama, hali kadhalika ujauzito na ujauzito. Cha maana, kama unawasiwasi na mama anaona ya kwamba mimba haikui, basi mpeleke akapimwe. Ultrasound itaonyesha mtoto anaendeleaje. Katika karne ya 18 "quick" ilimaanisha uhai (alive). Mwanasheria aliyebobea wa wakati huo William Blakstone, alisema "quickening" ni mwanzo wa maisha au uhai.
Mapigo ya moyo yanaanza kusikika toka wiki ya 20 kwa chombo asilia cha wakunga wetu "foetoscope", ila kwa ultrasound toka wiki ya tano/sita moyo utaokena vizuri ukidunda.
Ahsante Sana mkuu
Ungekua umewahi kuibeba ungeelewa ila ni kwasababu hujui na hautegemi hata nikikujibu ni kazi bure.Punguza povu sina nguo za kufua. Muungurumo gani wa tumbo mama asijue kama ni wake au sio wake? Vitu vingine viko wazi kama makalio ya mbuzi.
Iv Iyo morning sickness na kichefuchefu vmeishaNa pia ila mama kama mabadiliko mengine ya mimba anayaona kama " morning sickness" maudhi ya mimba eg.kichefuchefu,kutapika etc na " fundal height "/ tumbo linaongezeka mtoto ni mzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki 22 anapiga mateke kabisa.Mtoto anaanza kucheza kuanzia week ya 22 but nenda clinic pia kwa ushauri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app