Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Dduh. Kazi yote ya nini hii kuangalia movie isoeleweka. Kheri hata niangalie Tom and Jerry [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahah hii kitu ilikuwa sio poa nliangalia na jamaa yangu, yeye ni of the smartest lakin ilibid tutulie wote turudie huku tunachambua tulidiscuss kama ka project flan,hatukuelewa vyote though[emoji28]